”THE PRESIDENTIAL TOUR” YA RAIS SAMIA YAVUTIA WANAWAKE ZAIDI YA 400 HIFADHI YA TAIFA ARUSHA" Na. Edmund Salaho/ Arusha Zaidi ya wanawake 400 washerehekea siku ya wanawake duniani katika Hifadhi ya Taifa Arusha. Leo tarehe 09, Machi Jeshi hilo la wanawake limetua katika Hifadhi ya Taifa Arusha kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan kwa juhudi zake za kuitangaza nchi yetu. Mhe.Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan, na Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi, Rais wa Zanzibar, wameshiriki kuitangaza Tanzania mahsusi kwa soko la China walipomkaribisha nchini staa wa filamu za Kichina, Bw. Jin Dong na kurekodi filamu hiyo ambayo itatoka mapema mwaka huu Akizungumza wakati wa kuwakaribisha wanawake hao katika Hifadhi ya Taifa Arusha, Mkuu wa Hifadhi ya Arusha, Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi, Yustina Kiwango aliwapongeza wanawake kwa moyo na jitihada za kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Napenda kuwak...
Posts
Showing posts from March, 2024