TTB NA TANAPA WATANGAZA UTALII WA TANZANIA KATIKA MAONESHO YA FITUR - MADRID

TTB NA TANAPA WATANGAZA UTALII WA TANZANIA KATIKA MAONESHO YA FITUR - MADRID 


 Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia taasisi zake za TANAPA  na TTB wanashiriki Onesho la Fitur - Madrid Hispania kwa lengo la kunadi na kuhamasisha watalii wengi zaidi kutembelea vivutio vya utalii vinavyopatikana Tanzania. Onesho hilo linatarajiwa kuwa na washiriki zaidi ya 220,000 kutoka mataifa mbalimbali duniani. Katika Onesho hilo pia TANAPA inaendelea kunadi fursa za uwekezaji zinazopatikana  ndani ya hifadhi hizo. Aidha, onesho hilo mbali na kuwashirikisha TTB na TANAPA pia limewajumuisha wadau wa utalii na limeanza tarehe 24.01.2024 na linatarajiwa kuhitimishwa tarehe 28.01.2024




.

Comments

Popular posts from this blog

KUNDI LINGINE LA WANANCHI 541 LAHAMA NGORONGORO

๐”๐‰๐„๐๐™๐ˆ ๐–๐€ โ€œ๐’๐„๐‘๐„๐๐†๐„๐“๐ˆ ๐๐€๐“๐ˆ๐Ž๐๐€๐‹ ๐๐€๐‘๐Š ๐†๐Ž๐‹๐… ๐‚๐Ž๐”๐‘๐’๐„โ€ ๐–๐€๐…๐ˆ๐Š๐ˆ๐€ ๐€๐’๐ˆ๐‹๐ˆ๐Œ๐ˆ๐€ ๐Ÿ’๐Ÿ

UTALII WA MALIKALE WASHIKA KASI NCHINI, WAFARANSA WAFURIKA KILWA KISIWANI